Tunatuma Mikoani

Tunapenda kukujulisha kuwa tunatuma bidhaa zetu kote Tanzania! Popote ulipo, utaletewa kwa haraka na kwa uhakika.

Siku 30 za Warranty

Tunapenda kukujulisha kuwa simu zote unazonunua kwetu zinakuja na warranty ya siku 30 kuanzia tarehe ya kuzipokea. Tunajali ubora wa bidhaa zetu na kuridhika kwako ni kipaumbele chetu!

Malipo Salama

Unaweza kufanya malipo kwa kujiamini, kwani njia zetu zote za malipo ni salama na zinalindwa kwa usalama wa hali ya juu. Tunalinda taarifa na fedha zako kila hatua ya malipo.

Usafiri Salama

Tunapenda kukujulisha kuwa tunatumia usafiri wa mabasi pamoja na huduma za cargo kusafirisha bidhaa zetu hadi mikoa mbalimbali. Hii hutuwezesha kuwafikia wateja wetu popote walipo nchini kwa haraka na uhakika.

Full Box

Tunauza simu mpya za full box kutoka nje ya nchi — Uingereza (UK), Dubai, na China. Kila simu inakuja ikiwa imefungwa rasmi kwenye boksi lake, ikiwa na vifaa vyote vya awali (charger, earphones, cable, na vingine kutegemea na brand).

Refurbished Phones

✅ Simu halisi (original) ✅ Ubora wa hali ya juu ✅ Bei ya jumla na ya reja reja ✅ Tunatoa ushauri wa kitaalamu kabla ya kununua