Ruka hadi maudhui
SW EN
Samsung Galaxy S21 Ultra ipo stoo

Samsung Galaxy S21 Ultra ipo stoo

Original kutoka Kariakoo, na warranty ya siku 30.

Angalia simu

Simu original kutoka Kariakoo, zinafika popote Tanzania

Samsung, Sony, Aquos, Pixel na zaidi. Bei unayoiona ndiyo bei ya dukani, na kila simu ina warranty ya siku 30.

Angalia simu zilizopo 14 simu zipo stoo leo

Chagua brand

Unachagua simu, unapiga ofisini, advance yako inaishikilia.

Jinsi ya kununua

  1. Chagua simu

    Kila simu unayoiona ipo dukani sasa hivi. Iweke kwenye kikapu.

  2. Tuma oda

    Tuma oda au piga ofisini moja kwa moja. Tunathibitisha bei na tunapanga advance pamoja nawe.

  3. Lipa advance, tunaishikilia

    Advance yako inarekodiwa kwenye mfumo wetu na unapata risiti. Simu inashikiliwa kwa ajili yako hadi ukamilishe malipo.

Kwa nini Widetech

Warranty ya siku 30

Simu ikiwa na tatizo ndani ya siku 30, ilete dukani tuitengeneze au tuibadilishe.

IMEI kwenye risiti

Kila simu inauzwa na IMEI yake imeandikwa kwenye risiti, kwa usalama wako.

Tunatuma mikoani

Dar tunaleta, mikoani tunatuma kwa basi au courier. Gharama tunakuambia kabla.

Duka lipo Kariakoo

Kariakoo, Masasi Street, Horizon Tower 1, 1st floor, room N0011, Dar es Salaam

Maswali ya mara kwa mara

Widetech inauza nini?

Simu janja original: Samsung, Sony, Sharp Aquos, Google Pixel, Oppo na zaidi. Nyingine ni mpya na nyingine ni used zilizokaguliwa; ukurasa wa kila simu unaonyesha.

Mna duka ninaloweza kufika?

Ndiyo. Kariakoo, Masasi Street, Horizon Tower 1, 1st floor, room N0011, Dar es Salaam. Unaweza kuchukua oda yako hapo au kuja kuangalia tu.

Nalipaje?

Kutuma oda hakuishikilii simu. Piga ofisini +255 768 447 565 mkubaliane advance; ikishalipwa na kurekodiwa kwenye mfumo wetu, simu inashikiliwa kwa ajili yako na unamalizia malipo ukichukua au ikikufikia. Kwa sasa hakuna malipo mtandaoni kwenye tovuti.

Mzigo unafika baada ya muda gani?

Dar es Salaam mara nyingi siku hiyo hiyo au kesho. Mikoani tunatuma kwa basi au courier. Tukikupigia kuthibitisha oda tunakuambia gharama na siku ya kufika.

Naweza kubadilisha au kughairi oda?

Ndiyo, kabla simu haijatoka dukani. Tupigie au tutumie WhatsApp +255 768 447 565.

Simu ikiwa na tatizo je?

Kila simu ina warranty ya siku 30. Ilete na risiti yako tuitengeneze au tuibadilishe.

Nitajuaje kuwa ni simu niliyolipia?

Risiti yako inaonyesha IMEI ya simu. Piga *#06# kwenye simu uone kama namba zinalingana.

Simu unayoitaka ipo?

Angalia orodha ya leo, au tuulize WhatsApp kama hujaiona.

Imewekwa kwenye kikapu Angalia kikapu