Chagua simu yako · aina 2
Hifadhi (storage): 32GB
RAM: 4GB
Rangi: Burgundy
Imebaki 1 tu
- Warranty ya siku 30
- IMEI inaandikwa kwenye risiti
- Chukua dukani Kariakoo au tukuletee
Oda ya mtandaoni haiishikilii simu. Ili tukuwekee, piga ofisini ulipe advance; bila hivyo inaweza kuuzwa dukani. Piga ofisini: +255 768 447 565